Wasifu wangu
Mimi ni Mkristo aliyeokoka, Mwalimu na Mwandishi mwenye Stahahada ya Udhamili katika elimu na Shahada ya kwanza katika Uhasibu na Fedha
"... naye alitoa wengine kuwa mitume; na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti; na wengine kuwa wachungaji na walimu; kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa Kristo ujengwe; ... (Waefeso 4 : 11, 12)